sw_tn/1sa/30/23.md

24 lines
468 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ni nani atawasikiliza kuhusu jambo hili?
"Hakuna atakayewasikiliza katika jambo hili"
# Kwa maana mgawo ni kwa yeyote aendae
"kwa maana ni kwa ajili ya kila mtu aendaye"
# yeyote aendae vitani
mashujaa waliopigana katika vita
# watapata tena kilicho sawa
"atahakikisha kuwa kila mtu anapokea kiasi sawa"
# yeyote aliyelinda mizigo
watu waliowasaidia mashujaa kutunza na kilinda vitu vyao
# mzigo
vitu ambavyo mashujaa waliviacha nyuma walipokwenda vitani