sw_tn/1sa/30/18.md

16 lines
291 B
Markdown

# akawaokoa
"aliwaokoa" au "kuwa huru"
# Hakuna kilichopotea
"hakuna kilichopotea kati ya vilivyochukuliwa na Waamaleki"
# si kidogo wala kikubwa
Yaweza kuwa na maana ya 1) "watu wasio na umuhimu na wenye umuhimu" au 2) "watu wakubwa na wadogo"
# nyara
mali zilizoibiwa na Waamaleki.