sw_tn/1sa/30/18.md

291 B

akawaokoa

"aliwaokoa" au "kuwa huru"

Hakuna kilichopotea

"hakuna kilichopotea kati ya vilivyochukuliwa na Waamaleki"

si kidogo wala kikubwa

Yaweza kuwa na maana ya 1) "watu wasio na umuhimu na wenye umuhimu" au 2) "watu wakubwa na wadogo"

nyara

mali zilizoibiwa na Waamaleki.