# akawaokoa "aliwaokoa" au "kuwa huru" # Hakuna kilichopotea "hakuna kilichopotea kati ya vilivyochukuliwa na Waamaleki" # si kidogo wala kikubwa Yaweza kuwa na maana ya 1) "watu wasio na umuhimu na wenye umuhimu" au 2) "watu wakubwa na wadogo" # nyara mali zilizoibiwa na Waamaleki.