sw_tn/1sa/25/21.md

24 lines
594 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Mwandishi anatupa taarifa kabla hajaendelea na simulizi.
# Basi Daudi alikuwa amesema, "Hakika ... wa kwake"
Msomaji anatakiwa aelewe kuwa Daudi alisema maneno haya kabla hajasema "Kila mtu afunge upanga wake" katika 25:12
# Basi Daudi
Neno "basi" linaonesha kuwa mwandishi ameacha kuandika kuhusu Abigaili na akaanza kuandika kuhusu Daudi.
# na vyote alivyonavyo hakuna kilichopotea
"Bado anacho kila kitu ambacho ni chake"
# Mungu na anitendee hivyo mimi
"Mungu awapige adui wa Daudi"
# wote wa kwake
"watu wote ambao wako chini yake" au "wale wa familia yake"