sw_tn/1sa/25/21.md

594 B

Taarifa ya jumla:

Mwandishi anatupa taarifa kabla hajaendelea na simulizi.

Basi Daudi alikuwa amesema, "Hakika ... wa kwake"

Msomaji anatakiwa aelewe kuwa Daudi alisema maneno haya kabla hajasema "Kila mtu afunge upanga wake" katika 25:12

Basi Daudi

Neno "basi" linaonesha kuwa mwandishi ameacha kuandika kuhusu Abigaili na akaanza kuandika kuhusu Daudi.

na vyote alivyonavyo hakuna kilichopotea

"Bado anacho kila kitu ambacho ni chake"

Mungu na anitendee hivyo mimi

"Mungu awapige adui wa Daudi"

wote wa kwake

"watu wote ambao wako chini yake" au "wale wa familia yake"