sw_tn/1sa/25/07.md

659 B

unao wakata manyoya

"wakata manyoya wako wanafanya kazi" Daudi alitaka watu wake wamwambie hivi Nabali ili afahamu kuwa kondoo wake wapo salama kwa sababu watu wa Daudi waliwasaidia kuwalinda.

hatukuwafanyia ubaya, na hawakupotelewa kitu chochote

Daudi anaonesha ni kwa namna gani yeye na watu wake waliwalinda watumishi wa Nabali na mifugo yao.

Basi vijana wangu wapate kibali machoni pako

"Basi ukapendezwe na vijana wangu"

kwa mtumishi wako

Daudi anaonesha heshima mbele ya Nabali kwa kuwaita watu wake watumishi wa Nabali.

mwanao Daudi

Daudi anazungumza kama vile ni mtoto wa Nabali ili kuonesha heshima kwa Nabali aliyekuwa mtu mzima.