sw_tn/1sa/25/07.md

20 lines
659 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# unao wakata manyoya
"wakata manyoya wako wanafanya kazi" Daudi alitaka watu wake wamwambie hivi Nabali ili afahamu kuwa kondoo wake wapo salama kwa sababu watu wa Daudi waliwasaidia kuwalinda.
# hatukuwafanyia ubaya, na hawakupotelewa kitu chochote
Daudi anaonesha ni kwa namna gani yeye na watu wake waliwalinda watumishi wa Nabali na mifugo yao.
# Basi vijana wangu wapate kibali machoni pako
"Basi ukapendezwe na vijana wangu"
# kwa mtumishi wako
Daudi anaonesha heshima mbele ya Nabali kwa kuwaita watu wake watumishi wa Nabali.
# mwanao Daudi
Daudi anazungumza kama vile ni mtoto wa Nabali ili kuonesha heshima kwa Nabali aliyekuwa mtu mzima.