sw_tn/1sa/19/14.md

16 lines
354 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Sauli anaonyesha tamaa yake ya kumwua Daudi
# akamchukua Daudi
'"akamrudisha Daudi kwa Sauli"
# yeye akamuambia
Hapa "yeye" inamhusu Mikali.
# Mleteni kwangu akiwa kitandani
Sababu kwa nini watu walidhani Daudi alikuwa kitandani inaweza kuwekwa wazi. AT "Ikiwa yeye ni mgonjwa sana hawezi kuja kwangu, uniletee akiwa kitandani"