sw_tn/1sa/19/14.md

354 B

Taarifa za jumla

Sauli anaonyesha tamaa yake ya kumwua Daudi

akamchukua Daudi

'"akamrudisha Daudi kwa Sauli"

yeye akamuambia

Hapa "yeye" inamhusu Mikali.

Mleteni kwangu akiwa kitandani

Sababu kwa nini watu walidhani Daudi alikuwa kitandani inaweza kuwekwa wazi. AT "Ikiwa yeye ni mgonjwa sana hawezi kuja kwangu, uniletee akiwa kitandani"