# Taarifa za jumla Sauli anaonyesha tamaa yake ya kumwua Daudi # akamchukua Daudi '"akamrudisha Daudi kwa Sauli" # yeye akamuambia Hapa "yeye" inamhusu Mikali. # Mleteni kwangu akiwa kitandani Sababu kwa nini watu walidhani Daudi alikuwa kitandani inaweza kuwekwa wazi. AT "Ikiwa yeye ni mgonjwa sana hawezi kuja kwangu, uniletee akiwa kitandani"