sw_tn/1sa/19/10.md

20 lines
380 B
Markdown

# kumpigilia Daudi ukutani kwa mkuki
kutupa mkuki wake uweze kupita kwa Daudi na kwenye ukuta
# anaweza kumwua
"Sauli anaweza kumwua Daudi"
# Mikali.... akamuambia
Mikali alimwambia Daudi
# Usipoyaokoa maisha yako
Hapa "Usipoyaokoa maisha yako" ni tendo ambalo linahusu kutoroka. AT "Ikiwa hutatoroka"
# utauwawa
Hii inaweza kuelezwa katika fomu harisi. AT "mtu atakuua"