sw_tn/1sa/19/10.md

380 B

kumpigilia Daudi ukutani kwa mkuki

kutupa mkuki wake uweze kupita kwa Daudi na kwenye ukuta

anaweza kumwua

"Sauli anaweza kumwua Daudi"

Mikali.... akamuambia

Mikali alimwambia Daudi

Usipoyaokoa maisha yako

Hapa "Usipoyaokoa maisha yako" ni tendo ambalo linahusu kutoroka. AT "Ikiwa hutatoroka"

utauwawa

Hii inaweza kuelezwa katika fomu harisi. AT "mtu atakuua"