sw_tn/1sa/18/27.md

16 lines
416 B
Markdown

# Wafilisti mia mbili
Hii inaweza kutafsiriwa kwa nambari. AT "200 Wafilisti"
# kumkadhi mfalme kulingana na idadi yake
"Daudi na watu wake wote waliwapa mfalme"
# Sauli akaona, na akajua
Hapa maneno "kuona" na "kujua" yanashiriki maana sawa na kusisitiza kwamba Sauli alijua kwa uhakika. AT "Sauli alijua"
# Mikali, binti Sauli, akampenda
Hapa "kupendwa" maana yake alikuwa na hisia za kimapenzi kwa Daudi.