sw_tn/1sa/18/27.md

416 B

Wafilisti mia mbili

Hii inaweza kutafsiriwa kwa nambari. AT "200 Wafilisti"

kumkadhi mfalme kulingana na idadi yake

"Daudi na watu wake wote waliwapa mfalme"

Sauli akaona, na akajua

Hapa maneno "kuona" na "kujua" yanashiriki maana sawa na kusisitiza kwamba Sauli alijua kwa uhakika. AT "Sauli alijua"

Mikali, binti Sauli, akampenda

Hapa "kupendwa" maana yake alikuwa na hisia za kimapenzi kwa Daudi.