# Wafilisti mia mbili Hii inaweza kutafsiriwa kwa nambari. AT "200 Wafilisti" # kumkadhi mfalme kulingana na idadi yake "Daudi na watu wake wote waliwapa mfalme" # Sauli akaona, na akajua Hapa maneno "kuona" na "kujua" yanashiriki maana sawa na kusisitiza kwamba Sauli alijua kwa uhakika. AT "Sauli alijua" # Mikali, binti Sauli, akampenda Hapa "kupendwa" maana yake alikuwa na hisia za kimapenzi kwa Daudi.