sw_tn/1sa/18/15.md

12 lines
534 B
Markdown

# alimwogopa
Hapa "kumwogopa" ni maneno ambayo ina maana ya hofu. AT "alimwogopa Daudi"
# watu wote wa Israeli na Yuda walimpenda Daudi
Hapa "Israeli na Yuda" wanawakilisha watu wa kabila zote. AT "watu wote wa Israeli na Yuda walimpenda Daudi"
# alitoka na kuingia mbele yao
Maneno ambayo "toka" na "ingia" ni maneno ambayo yanahusu kuwaongoza watu katika vita na kuwaongoza kwenda nyumbani kutoka vitani. Tazama jinsi ulivyotafasiri hii katika 18:13. AT "aliongoza askari wake katika vita na kuwaongoza nyumbani kutoka vitani"