sw_tn/1sa/18/15.md

534 B

alimwogopa

Hapa "kumwogopa" ni maneno ambayo ina maana ya hofu. AT "alimwogopa Daudi"

watu wote wa Israeli na Yuda walimpenda Daudi

Hapa "Israeli na Yuda" wanawakilisha watu wa kabila zote. AT "watu wote wa Israeli na Yuda walimpenda Daudi"

alitoka na kuingia mbele yao

Maneno ambayo "toka" na "ingia" ni maneno ambayo yanahusu kuwaongoza watu katika vita na kuwaongoza kwenda nyumbani kutoka vitani. Tazama jinsi ulivyotafasiri hii katika 18:13. AT "aliongoza askari wake katika vita na kuwaongoza nyumbani kutoka vitani"