# alimwogopa Hapa "kumwogopa" ni maneno ambayo ina maana ya hofu. AT "alimwogopa Daudi" # watu wote wa Israeli na Yuda walimpenda Daudi Hapa "Israeli na Yuda" wanawakilisha watu wa kabila zote. AT "watu wote wa Israeli na Yuda walimpenda Daudi" # alitoka na kuingia mbele yao Maneno ambayo "toka" na "ingia" ni maneno ambayo yanahusu kuwaongoza watu katika vita na kuwaongoza kwenda nyumbani kutoka vitani. Tazama jinsi ulivyotafasiri hii katika 18:13. AT "aliongoza askari wake katika vita na kuwaongoza nyumbani kutoka vitani"