sw_tn/1sa/17/41.md

16 lines
308 B
Markdown

# mbeba ngao yake akiwa mbele yake.
"na mbeba ngao yake alikuwa mbele yake"
# akamdharau
"akamchukia"
# mwekundu
"mwenye afya"
# Je, mimi ni mbwa, hata ukanijia na fimbo?
Mbwa anawakilisha mnyama mdogo ambaye mtu anaweza kumuua kwa urahisi. "Umenidharau kwa kunujia kwa fimbo kama vile nimekuwa mbwa"