# mbeba ngao yake akiwa mbele yake. "na mbeba ngao yake alikuwa mbele yake" # akamdharau "akamchukia" # mwekundu "mwenye afya" # Je, mimi ni mbwa, hata ukanijia na fimbo? Mbwa anawakilisha mnyama mdogo ambaye mtu anaweza kumuua kwa urahisi. "Umenidharau kwa kunujia kwa fimbo kama vile nimekuwa mbwa"