sw_tn/1sa/17/41.md

308 B

mbeba ngao yake akiwa mbele yake.

"na mbeba ngao yake alikuwa mbele yake"

akamdharau

"akamchukia"

mwekundu

"mwenye afya"

Je, mimi ni mbwa, hata ukanijia na fimbo?

Mbwa anawakilisha mnyama mdogo ambaye mtu anaweza kumuua kwa urahisi. "Umenidharau kwa kunujia kwa fimbo kama vile nimekuwa mbwa"