sw_tn/1sa/16/04.md

12 lines
328 B
Markdown

# Wazee wa mji walikuwa wakitetemeka walipokuja kuonana
Wazee walikuwa wakitetemeka kwa sababu waliogopa kuwa Samweli amekwenda kuwakemea.
# Kwa amani
"ndio, nimekuja kwa amani"
# Jitoeni wenyewe
"Kujitoa" inamaana ya kuwa watu wajitoe wenyewe tayari kwa ajili ya kusudi la Mungu kwa kujitakasa kutokana na sheria ya Musa.