# Wazee wa mji walikuwa wakitetemeka walipokuja kuonana Wazee walikuwa wakitetemeka kwa sababu waliogopa kuwa Samweli amekwenda kuwakemea. # Kwa amani "ndio, nimekuja kwa amani" # Jitoeni wenyewe "Kujitoa" inamaana ya kuwa watu wajitoe wenyewe tayari kwa ajili ya kusudi la Mungu kwa kujitakasa kutokana na sheria ya Musa.