sw_tn/1sa/16/04.md

328 B

Wazee wa mji walikuwa wakitetemeka walipokuja kuonana

Wazee walikuwa wakitetemeka kwa sababu waliogopa kuwa Samweli amekwenda kuwakemea.

Kwa amani

"ndio, nimekuja kwa amani"

Jitoeni wenyewe

"Kujitoa" inamaana ya kuwa watu wajitoe wenyewe tayari kwa ajili ya kusudi la Mungu kwa kujitakasa kutokana na sheria ya Musa.