sw_tn/1sa/15/32.md

646 B

Agagi akafika kwake akiwa amefungwa minyororo

"walimpeleka Agagi akiwa amefungwa minyororo"

Hakika uchungu wa kifo umepita

"Kwa hakika sipo tena katika hatari au kufa"

Jinsi upanga wako ulivyofanya wanawake wapoteze watoto, vivyo hivyo mama yako naye hatakuwa na mtoto miongoni mwa wanawake

Maneno haya yana maana moja "Kwa kuwa umewaua watu, wewe pia utauawa"

ulivyofanya wanawake wapoteze watoto, vivyo hivyo mama yako naye hatakuwa na mtoto

"umewaua watoto wa wanawake wengine, hivyo nitamuua mtoto wa mama yako"

Kisha Samweli akamkata Agagi vipande vipande

Samweli aliimaliza kazi ambayo Bwana alimuamuru Samweli alifanye.