sw_tn/1sa/15/32.md

20 lines
646 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Agagi akafika kwake akiwa amefungwa minyororo
"walimpeleka Agagi akiwa amefungwa minyororo"
# Hakika uchungu wa kifo umepita
"Kwa hakika sipo tena katika hatari au kufa"
# Jinsi upanga wako ulivyofanya wanawake wapoteze watoto, vivyo hivyo mama yako naye hatakuwa na mtoto miongoni mwa wanawake
Maneno haya yana maana moja "Kwa kuwa umewaua watu, wewe pia utauawa"
# ulivyofanya wanawake wapoteze watoto, vivyo hivyo mama yako naye hatakuwa na mtoto
"umewaua watoto wa wanawake wengine, hivyo nitamuua mtoto wa mama yako"
# Kisha Samweli akamkata Agagi vipande vipande
Samweli aliimaliza kazi ambayo Bwana alimuamuru Samweli alifanye.