sw_tn/1sa/15/28.md

24 lines
508 B
Markdown

# Bwana ameuchana ufalme wa Israeli
"Kama ulivyochana kanzu yangu vivyo hivyo Bwana ameuchana ufalme wa Israeli"
# amempa jirani yako, aliye bora kuliko wewe.
Mungu ameshaamua ni nani atakuwa mfalme baada ya Sauli.
# Uwezo wa Israeli
Hii inamuelezea Mungu ambaye huwapa nguvu Waisraeli.
# hatasema uongo wala kubadili nia yake
Hii inasisitiza kuwa Mungu hasemi uongo.
# nia yake
"alichoamua kukifanya"
# si mwanadamu, kwamba abadili nia yake
"Yeye ni Mungu na atafanya alichosema kuwa atakifanya"