# Bwana ameuchana ufalme wa Israeli "Kama ulivyochana kanzu yangu vivyo hivyo Bwana ameuchana ufalme wa Israeli" # amempa jirani yako, aliye bora kuliko wewe. Mungu ameshaamua ni nani atakuwa mfalme baada ya Sauli. # Uwezo wa Israeli Hii inamuelezea Mungu ambaye huwapa nguvu Waisraeli. # hatasema uongo wala kubadili nia yake Hii inasisitiza kuwa Mungu hasemi uongo. # nia yake "alichoamua kukifanya" # si mwanadamu, kwamba abadili nia yake "Yeye ni Mungu na atafanya alichosema kuwa atakifanya"