sw_tn/1sa/15/28.md

508 B

Bwana ameuchana ufalme wa Israeli

"Kama ulivyochana kanzu yangu vivyo hivyo Bwana ameuchana ufalme wa Israeli"

amempa jirani yako, aliye bora kuliko wewe.

Mungu ameshaamua ni nani atakuwa mfalme baada ya Sauli.

Uwezo wa Israeli

Hii inamuelezea Mungu ambaye huwapa nguvu Waisraeli.

hatasema uongo wala kubadili nia yake

Hii inasisitiza kuwa Mungu hasemi uongo.

nia yake

"alichoamua kukifanya"

si mwanadamu, kwamba abadili nia yake

"Yeye ni Mungu na atafanya alichosema kuwa atakifanya"