sw_tn/1sa/15/14.md

639 B

Taarifa ya jumla:

Samweli anauliza kwa nini Sauli hakuwaangamiza kabisa Waameleki.

masikioni mwangu ... ninayosikia

Maneno haya yana maana sawa. "masikioni mwangu" ina maana ya "kusikia"

kilio cha kondoo ... milio ya ng'ombe

Hii ni milio ambayo wanyama hutoa. Lugha yako yaweza kuwa na maneno tofauti.

Wao wamewaleta ... watu waliwaacha

Watu hawa wanaozungumziwa hapa ni jeshi la Sauli.

Sadaka kwa Bwana Mungu wako

Sauli anajitetea kuwa wanyama kwa ajili ya dhabihu walikuwa sababu ya kutotii amri ya Bwana ya kutoangamiza kila kitu.

Bwana Mungu wako

Sauli hapa hamuelezei Mungu wa Samweli kama Mungu wake mwenyewe.