sw_tn/1sa/15/14.md

24 lines
639 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Samweli anauliza kwa nini Sauli hakuwaangamiza kabisa Waameleki.
# masikioni mwangu ... ninayosikia
Maneno haya yana maana sawa. "masikioni mwangu" ina maana ya "kusikia"
# kilio cha kondoo ... milio ya ng'ombe
Hii ni milio ambayo wanyama hutoa. Lugha yako yaweza kuwa na maneno tofauti.
# Wao wamewaleta ... watu waliwaacha
Watu hawa wanaozungumziwa hapa ni jeshi la Sauli.
# Sadaka kwa Bwana Mungu wako
Sauli anajitetea kuwa wanyama kwa ajili ya dhabihu walikuwa sababu ya kutotii amri ya Bwana ya kutoangamiza kila kitu.
# Bwana Mungu wako
Sauli hapa hamuelezei Mungu wa Samweli kama Mungu wake mwenyewe.