# Taarifa ya jumla: Samweli anauliza kwa nini Sauli hakuwaangamiza kabisa Waameleki. # masikioni mwangu ... ninayosikia Maneno haya yana maana sawa. "masikioni mwangu" ina maana ya "kusikia" # kilio cha kondoo ... milio ya ng'ombe Hii ni milio ambayo wanyama hutoa. Lugha yako yaweza kuwa na maneno tofauti. # Wao wamewaleta ... watu waliwaacha Watu hawa wanaozungumziwa hapa ni jeshi la Sauli. # Sadaka kwa Bwana Mungu wako Sauli anajitetea kuwa wanyama kwa ajili ya dhabihu walikuwa sababu ya kutotii amri ya Bwana ya kutoangamiza kila kitu. # Bwana Mungu wako Sauli hapa hamuelezei Mungu wa Samweli kama Mungu wake mwenyewe.