sw_tn/1sa/14/43.md

16 lines
442 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Kura ilionesha kuwa Yonathani alitenda dhambi.
# Niambie umefanya nini
"Niambie ni kwa namna gani umetenda dhambi" au "niambie ni kosa gani umefanya"
# Nitakufa
Yaweza kuwa na maana ya 1) "nipo tayari kufa" au 2) "Je nina sitahili kufa kwa sababu ya nilichokifanya"
# Mungu afanye hivyo na kuzidi hata kwangu, kama Yonathani hautakufa
Sauli alifanya tena kiapo kibaya. "Mungu na aniue kama sitakuua wewe Yonathani"