# Taarifa ya jumla: Kura ilionesha kuwa Yonathani alitenda dhambi. # Niambie umefanya nini "Niambie ni kwa namna gani umetenda dhambi" au "niambie ni kosa gani umefanya" # Nitakufa Yaweza kuwa na maana ya 1) "nipo tayari kufa" au 2) "Je nina sitahili kufa kwa sababu ya nilichokifanya" # Mungu afanye hivyo na kuzidi hata kwangu, kama Yonathani hautakufa Sauli alifanya tena kiapo kibaya. "Mungu na aniue kama sitakuua wewe Yonathani"