sw_tn/1sa/14/43.md

442 B

Taarifa ya jumla:

Kura ilionesha kuwa Yonathani alitenda dhambi.

Niambie umefanya nini

"Niambie ni kwa namna gani umetenda dhambi" au "niambie ni kosa gani umefanya"

Nitakufa

Yaweza kuwa na maana ya 1) "nipo tayari kufa" au 2) "Je nina sitahili kufa kwa sababu ya nilichokifanya"

Mungu afanye hivyo na kuzidi hata kwangu, kama Yonathani hautakufa

Sauli alifanya tena kiapo kibaya. "Mungu na aniue kama sitakuua wewe Yonathani"