sw_tn/1sa/14/27.md

294 B

Taarifa ya jumla:

Yonathani anagundua juu ya kiapo cha baba yake.

amewaagiza watu kwa kiapo

"aliwaamuru watu kwa kutii kiapo"

akanyoosha mkono wake hadi kinywani mwake

"Alikula asali"

macho yake yakaangaziwa

Sentensi hii inamaanisha kuwa alipata nguvu. "alirejeshewa nguvu zake"