# Taarifa ya jumla: Yonathani anagundua juu ya kiapo cha baba yake. # amewaagiza watu kwa kiapo "aliwaamuru watu kwa kutii kiapo" # akanyoosha mkono wake hadi kinywani mwake "Alikula asali" # macho yake yakaangaziwa Sentensi hii inamaanisha kuwa alipata nguvu. "alirejeshewa nguvu zake"