sw_tn/1sa/14/27.md

16 lines
294 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Yonathani anagundua juu ya kiapo cha baba yake.
# amewaagiza watu kwa kiapo
"aliwaamuru watu kwa kutii kiapo"
# akanyoosha mkono wake hadi kinywani mwake
"Alikula asali"
# macho yake yakaangaziwa
Sentensi hii inamaanisha kuwa alipata nguvu. "alirejeshewa nguvu zake"