sw_tn/1sa/14/24.md

20 lines
501 B
Markdown

# Hivyo hakuna hata mmoja kati ya watu wote aliyeonja chakula
Ilieleweka kwa watu kuwa chini ya kiapo cha Sauli hakuna chakula kilichoruhusiwa.
# Watu wakaingia msituni
Askari wa Wafilisti walikimbilia msituni na askari wa Israeli wakawafuata.
# Asali ilitiririka
Hii inasisitiza kuwa "kulikuwa na asali nyingi kila mahali"
# hakuna aliyeweka mkono wake kinywani
"hakuna aliyekula chochote"
# watu waliogopa kiapo
Watu hawakukiogopa kiapo ila waliogopa adhabu iliyoambatana na kuvunja kiapo.