# Hivyo hakuna hata mmoja kati ya watu wote aliyeonja chakula Ilieleweka kwa watu kuwa chini ya kiapo cha Sauli hakuna chakula kilichoruhusiwa. # Watu wakaingia msituni Askari wa Wafilisti walikimbilia msituni na askari wa Israeli wakawafuata. # Asali ilitiririka Hii inasisitiza kuwa "kulikuwa na asali nyingi kila mahali" # hakuna aliyeweka mkono wake kinywani "hakuna aliyekula chochote" # watu waliogopa kiapo Watu hawakukiogopa kiapo ila waliogopa adhabu iliyoambatana na kuvunja kiapo.