sw_tn/1sa/14/24.md

501 B

Hivyo hakuna hata mmoja kati ya watu wote aliyeonja chakula

Ilieleweka kwa watu kuwa chini ya kiapo cha Sauli hakuna chakula kilichoruhusiwa.

Watu wakaingia msituni

Askari wa Wafilisti walikimbilia msituni na askari wa Israeli wakawafuata.

Asali ilitiririka

Hii inasisitiza kuwa "kulikuwa na asali nyingi kila mahali"

hakuna aliyeweka mkono wake kinywani

"hakuna aliyekula chochote"

watu waliogopa kiapo

Watu hawakukiogopa kiapo ila waliogopa adhabu iliyoambatana na kuvunja kiapo.