# hatutavuka kwenda kwao
"hatutakwenda katika upande mwingine wa bonde ambapo Wafilisti wapo"
# amewaweka mkononi mwetu
"atatuwezesha kuwashinda"
# Hii ndiyo itakuwa ishara yetu
"Hii itathibitisha kuwa Bwana atakuwa pamoja nasi"