sw_tn/1sa/14/08.md

234 B

hatutavuka kwenda kwao

"hatutakwenda katika upande mwingine wa bonde ambapo Wafilisti wapo"

amewaweka mkononi mwetu

"atatuwezesha kuwashinda"

Hii ndiyo itakuwa ishara yetu

"Hii itathibitisha kuwa Bwana atakuwa pamoja nasi"