# hatutavuka kwenda kwao "hatutakwenda katika upande mwingine wa bonde ambapo Wafilisti wapo" # amewaweka mkononi mwetu "atatuwezesha kuwashinda" # Hii ndiyo itakuwa ishara yetu "Hii itathibitisha kuwa Bwana atakuwa pamoja nasi"