sw_tn/1sa/14/04.md

314 B

Jabali moja liliitwa Bosesi

Jabali ni mwamba wenye mteremko mkali. Jabali hili lilijulikana sana na lilipewa jina la "Bosesi"

Jabali lingine liliitwa Sene

Hili lilikuwa jina la jabali lingine.

Mikmashi

"Mikmashi" ulikuwa mji kaskazini mwaYerusalemu.

Geba

"Geba" ulikuwa mji kaskazini mwaYerusalemu.