sw_tn/1sa/14/04.md

16 lines
314 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Jabali moja liliitwa Bosesi
Jabali ni mwamba wenye mteremko mkali. Jabali hili lilijulikana sana na lilipewa jina la "Bosesi"
# Jabali lingine liliitwa Sene
Hili lilikuwa jina la jabali lingine.
# Mikmashi
"Mikmashi" ulikuwa mji kaskazini mwaYerusalemu.
# Geba
"Geba" ulikuwa mji kaskazini mwaYerusalemu.