# Jabali moja liliitwa Bosesi Jabali ni mwamba wenye mteremko mkali. Jabali hili lilijulikana sana na lilipewa jina la "Bosesi" # Jabali lingine liliitwa Sene Hili lilikuwa jina la jabali lingine. # Mikmashi "Mikmashi" ulikuwa mji kaskazini mwaYerusalemu. # Geba "Geba" ulikuwa mji kaskazini mwaYerusalemu.