sw_tn/1sa/14/02.md

24 lines
481 B
Markdown

# Gibea
Hili ni jina la kilima kaskazini mwa Yerusalemu.
# chini ya mti wa mkomamanga
Ni mti ambao matunda yake yana ganda gumu, la duara jekundu na lenye mbegu nyingi kwa ajili ya kula.
# ulio katika Migroni
Migroni ni eneo lililopo Kaskazini mwa Yerusalemu.
# watu mia sita walikuwa pamoja naye
"watu 600 walikuwa pamoja naye"
# mwana wa Ahitubu (nduguye Ikabodi)
"Ahitubu" n"a Ikabodi" ni majina ya wanaume.
# Finehasi mwana wa Eli
Finehasi alikwa mmoja wa makuhani.