sw_tn/1sa/14/02.md

481 B

Gibea

Hili ni jina la kilima kaskazini mwa Yerusalemu.

chini ya mti wa mkomamanga

Ni mti ambao matunda yake yana ganda gumu, la duara jekundu na lenye mbegu nyingi kwa ajili ya kula.

ulio katika Migroni

Migroni ni eneo lililopo Kaskazini mwa Yerusalemu.

watu mia sita walikuwa pamoja naye

"watu 600 walikuwa pamoja naye"

mwana wa Ahitubu (nduguye Ikabodi)

"Ahitubu" n"a Ikabodi" ni majina ya wanaume.

Finehasi mwana wa Eli

Finehasi alikwa mmoja wa makuhani.